Hapana bro, kwanini?
Kwema mkoka?
Kwema bro
Hapana bro, kwanini?
Kwema mkoka?
DahKwa kutuponda huku,Kuhusu picha utaisikia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Dah
Hamjazoea kabisa hivi vitu...hata uzi nao utakuwa umstuka huu kukutana na vitu vya ajabu (mapicha ya man utd)[emoji23][emoji23][emoji23]
Na kwako pia bro,kesho pia ni siku..Usiku mwema wakuu.
Kesho tena.
🙏🙏🙏Na kwako pia bro,kesho pia ni siku..
Mungu atulinde!
Hongereni bro.
At least mmefurahishwa leo...
Leo huu Uzi utakutana na picha za ajabu za timu ambazo zimesafisha nyota[emoji23][emoji23][emoji23]
Ona wanataka wazimie kwa kushangilia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1284962
Leo huu Uzi utakutana na picha za ajabu za timu ambazo zimesafisha nyota[emoji23][emoji23][emoji23]
Nina uhakika hadi Uzi umestuka sana,[emoji1787]
Manchester leo mlilalia ubavu gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmesafisha nyota hatari,
Leo Manchester mmejikata kiume[emoji91]
Dozi kama hizi ni kawaida yetu [emoji23][emoji23] na hiyo ni salamu kwa wengine watakaokuja mbele yetu
Walikuwa wanatuparamia mno[emoji1787][emoji1787]
Kwanza vinatuombeaga njaa Sana ili vichuke kikombe [emoji23][emoji23][emoji23]
At least wamewavuta shati wamerudi nyuma