Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Bro, acha tuu.Bradha msalimie TH na King [emoji23][emoji23]View attachment 1284902
Haha bro bhana,ndio ukubwa huoHongereni bro,
Sema ile dk ya 45 ilikua ni penalt, tukanyimwa...
Mimi sitaki kuwanafikia,Man city poleni
Mi sikutegemea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamefanya kazi kubwa sana Man United
Ukubwa wapi, mmejishika kwenye mbeleko😀😀Haha bro bhana,ndio ukubwa huo
Hatimaye Manchester nao wanatamba na mapicha picha na kusafisha nyota humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AJTunarudi hapa.. team AJ tufahamianee.View attachment 1284948
Kiongozi wa nyumba kumi tafadhari naomba kuuliza kidogo tu nini maana ya twiter in swahili pia Facebook in swahili pamoja na tofauti ya Gmail na email😠😠😠Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Nasema hiviii... Safi Sana mmefungwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]sawenii tu
Hahah imeshatoka hiyoUkubwa wapi, mmejishika kwenye mbeleko[emoji3][emoji3]
Mbeleko united🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️
Kwa kutuponda huku,Kuhusu picha utaisikia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatimaye Manchester nao wanatamba na mapicha picha na kusafisha nyota humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilishachoka kushangilia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtuache[emoji23][emoji23]View attachment 1284940
Hongereni bro.Lakers win
Man United win
Anthony Joshua unajua nini unatakiwa kufanya sasa. View attachment 1284958