moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hongereni bro,
Sema ile dk ya 45 ilikua ni penalt, tukanyimwa...
[emoji120][emoji120][emoji120]
Hatimaye Manchester nao wanatamba na mapicha picha na kusafisha nyota humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbeleko united[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Nilishachoka kushangilia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana twafanya kufuru Kila siku.
Leo wacha niwaache Mwanitesa utd wajimwambafai...hawajazoea kabisa hivi vitu[emoji1787][emoji1787]
Usiku mwema wakuu.
Kesho tena.
Dah
Hamjazoea kabisa hivi vitu...hata uzi nao utakuwa umstuka huu kukutana na vitu vya ajabu (mapicha ya man utd)[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena wajinga haswa[emoji1787][emoji1787]Walidaia tutapoteza game ili wakae pale juu[emoji23][emoji23], pumbavu sana
Inavutia kwa kweli,na usiku wa leo utakuwa ni kupendeza sana kwa babu,ushindi Etihad sio jambo dogo...How nice seeing him smilling?
Yaani hata Mimi naumia kutokuona shangwe za numbisa humuSi hapa tu .. pote huko duniani UNITED inazungumzwa..
Performance ilkua poa sana, game imekua poa pia.
Nsikitika Numbisa ako na BAN
Yaani hivi vitu wamekuwa wakiviona kwa majirani tu(livapuu)Hahaha[emoji23][emoji23]
Waache wafurahi, walimiss ushindi kitambo[emoji23][emoji23][emoji23]
Livapuu hizi Ni kufuru jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hahaha
🙄Kuwa tayal tayal,naachia nyingine kusherehekea ushindi wa leo[emoji23][emoji23]
Nakuona na ushindi wa man U...umefurahi mwenyeweDepal .. mambo?
Nafurahi uko hapa!
Unatumia kinywaji gani?
Nawaona bae na ushindi wa Man U
Amkeni kumekucha