moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huku tunatuma kama hizi.Lol kule mnakataa kutuma kama hizi,, ila huku mnatuma si eti enh??
NdiyoM
Mbona sura ngumu
Atakuwa ndiyo huyo huyoHuyu ni wewe?? Kama ni wewe kuna mtu nimekufananisha naye sijui ni ndugu yako??
Acha uongo bwana
OyeeeNchi kwanza, siasa baadaye.
Tanganyika oyee
Nataka nao wapate maumivu asubuhi
Huku tunatuma kama hizi.
Na nimefanya makusudi kwa Sababu hao wamelala.
Nao walinichezea mchezo mchafu mchana[emoji3]
Oyeee
Wewe ukitaka kuona full tegesha huku.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani
Wewe ukitaka kuona full tegesha huku.
Tangu jana zinawekwa
Inaonyesha mashabiki wa liva tuna tatizo la kupitwa na picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ya kwako sijaiona best, kila nikiivizia nakuta umeshainyofoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama vipi itupie pm[emoji23]
hehehehe upo vizuri. Nasubiria asubuhNataka nao wapate maumivu asubuhi
Kama niliyoyapata Mimi leo
Inaonyesha mashabiki wa liva tuna tatizo la kupitwa na picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi mchana za kwenu zimenipita hivihivi
Walinivizia muda niliokuwa church.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani
Nionyeshe yako Basi.[emoji23][emoji23]
Walinivizia muda niliokuwa church.
Mwingine aliniweka hapa Jana usiku kucha na nikatoka patupu[emoji3]
Ila bado maumivu yangu ya kuhujumiwa na bradha na ningendako hayajaisha[emoji24]hehehehe upo vizuri. Nasubiria asubuh