carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Unataka nifwe kwa puresha??Huku tunatuma kama hizi.
Na nimefanya makusudi kwa Sababu hao wamelala.
Nao walinichezea mchezo mchafu mchana[emoji3]
Yaani mimi wa kuambiwa u need valid id?Atakuwa ndiyo huyo huyo
Najua hujapitwa.[emoji23][emoji23]hehehehe upo vizuri. Nasubiria asubuh
Hee kwani imefutwa?Najua hujapitwa.[emoji23][emoji23]
#Nifanyiempango
Mbali na kuweka picha yangu tangu jana bila emoji lakini unanifanyia hujuma?[emoji23][emoji23]Walinivizia muda niliokuwa church.
Mwingine aliniweka hapa Jana usiku kucha na nikatoka patupu[emoji3]
OyeeeNchi kwanza, siasa baadaye.
Tanganyika oyee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaYaani mimi wa kuambiwa u need valid id?
Mimi??[emoji23][emoji23][emoji23]
The Don[emoji847][emoji847][emoji847]Asante kwa upendo wenu wapendwa. Mmenifurahisha sana. Upendo wetu udumu katika uzi huu na Mungu Aendelee kutulinda na kutuimarisha. The Don Himself here. Nawapenda Sana [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
#Sijanyang'anywaNywila
#SijaendaNyandazaJuuKusini
#SijapandishwaMilimayaLoleza
#KhantweHajanificha
#SaintAnneHanaHatiaAsinyanyaswe
[emoji7][emoji7][emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 1285965
Nawapenda Sana. Uzi wetu Udumu na Upendo Ukatamalaki
#NikoHuru
#TheDonHanyang'anywiNywila
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani anne alivyotufanyia sio kabisa, kaweka picha usiku wa manane.Unataka nifwe kwa puresha??
Unanini lakini?
Ina maana ulisubiri ni log out ndo uweke picha??[emoji24][emoji24][emoji24]
#naombahiyopichapuliizii
#hizihujumahazikubaliki
The Happiness umeona hujuma hizi?
Sasa na yule mzee mwenzio mmeachana?Mimi sio mke mwenzie Khantwe bali ni wifi yake ila hataki tu kukubali ukweli!
[emoji23][emoji23][emoji23]pongezi ziende kwa kamati ya kampein ya #free SYB ikiongozwa na captein The Happiness wajumbe Hawachi carbamazepine Bradha Numbisa Mkokaa Saint anne ningendako Karma na wengineo wengi mlioshiriki kuhakikisha ngosha wetu au SHIMBA YA MISAMBWANDA anarudishiwa nywila na kutoka kwenye kifungo cha nduli Khantwe
Welcome back bro SYB
#say_no_to_utekaji_wa_nywila
#if_you_die_we_resurrect_you
Haipoooo[emoji24][emoji24][emoji24]Hee kwani imefutwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani anne alivyotufanyia sio kabisa, kaweka picha usiku wa manane.
Afu anne unakumbuka hata mm nilihujumiwa mchana kama wewe, umeamua kuniumiza mara mbili.? [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
#TafadhaliiNioneehuruma
#Hatamimihujumaimenuhusu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#huonihujumazilizofanywajana?
#nipemchorokamaunao
#rohoinauma[emoji24][emoji24]
Hehehehehehe kawaweza kweli,picha zilikaa sana nikaona haina haja ya kuitunza hawez futa kumbe kafuta aiseeeHaipoooo[emoji24][emoji24][emoji24]