Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanasiasa mkongwe aliyehudumu kama RC kwenye mikoa kadhaa,
Jaka Mwambi Amefariki dunia
FB_IMG_1575914745712.jpeg
 
[emoji23][emoji23]
leo ndio siku yako ya mwisho kuwa na furaha.......
ewe Mungu uliyeumba jongoo, funza, kenge, mjusi,nyoka, twiga, mbuzi mee, kondoo kichwa, sembe ndani yake.....
mimi daemusin mlalahoi nisiyemiliki hata baiskeli ya mbao nakuomba nakuomba jioni ya kesho sadio mane apatwe na ugonjwa wa kuharisha.
ameeeeen
 
Dua yako iwe kinyume chake, ikurejee mwenyewe na timu yako.
Vinginevyo sijawahi kukosa furaha kwa kuwa tu eti timu yangu imefungwa.
Huwa na furaha hata timu zangu zikipoteza
 
Back
Top Bottom