Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1575872916305.jpeg
 
Kupunguza uzito

Utafiti unaonesha kuwa wanawake wanaokunywa maziwa hupunguza uzito zaidi kuliko wale wasiokunywa. Inashuriwa kunywa maziwa wakati wa chakula cha jioni au unapokula matunda. Pia maziwa yanaweza kutumiwa kama kileta hamu ya kula yaani appetizer.
 
Huondoa msongo wa mawazo

Hebu fikiri juu ya vitamini na virutubisho vilivyoko kwenye maziwa; hivi huweza kuondoa msongo. Baada ya kazi nyingi za siku, inashauriwa kunywa angalau bilauri (glass) moja ya maziwa ya uvuguvugu. Hili litakusaidia kukuondolea msongo katika misuli na neva zako za fahamu.
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kwenye ubora wako
😎😎😎 nakuombea ushindi hapo kesho dhidi ya salzburg japokuwa nimeambiwa nikufikishie salamu nzito kutoka kwa hawa wajinga watatu.
naomba uwakumbuke majina yao kuanzia muda huu hadi kesho utakapomalizika mpira

takumi minamino = huyu ni mjapani
hwang hee chan = huyu ni mkorea
braut haland = huyu ni raia wa norway
1575912443825.png


hii adhabu aliyopewa huyu mlinzi bora wa dunia sijui bado unaikumbuka?
nasikia alikatika kiuno
1575912487266.png
 
Back
Top Bottom