Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwenye ubora wako
tokea asubuhi mpaka muda huu bado naifikiria sentensi sahihi ya kukujibu mjinga wewe.
mara nyingi kuongea au kuandika sana mbele ya wenzako hupelekea taathira, si ajabu kujikuta baadhi ya nyakati unazungumza au kuandika vitu vya ajabu ajabu na vyenye kukera japokuwa hukudhamiria.
si umeona hotuba za muheshimiwa raisi na taathira zake, sometime yeeees and sometime nooooooo.

nimeona ni bora nimsaidie mkwepu junior kutoa likes.

halafu kesho wahuni nyie mujiandae na kipigo kizitoooooo kutoka kwa wazanzibar.
 
FB_IMG_1575900029180.jpeg
 
Unachokitafuta kwangu utakipata, maana unyagoni nilifunzwa kuwa wifi akikuletea visa ili uachana na kaka yake, mchukulie mumewe!
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa ukianza kuchepuka si ndio utaachika vizuri, uzuri kaka zangu unawaelewa wala sihitaji kukuelezea. Halafu kama ni waume ninao wengi sasa sijui utamuiba yupi
 
NYEPESI NYEPESI TOKA UZI WA LIKES

1.kijana mpole afananishwa na ali kiba

2. Butua butua za hapa na pale zamkuta the don himself,bila kutarajia nywila chaliiii mara paaap kageuka mpira wa kona kila mtu anaukimbilia apatepo ka goli huku akikana kumpandisha milimani(habari inasindikizwa na kamlio ka habari ka redio free africa)

3.Man city and the co hawana hamu na likes kisa na mkasa kipara anauza sura tu uwanjani siku hizi,kheee hadi man u chovu imejipigiaaaaa. Wamebaki kulalamika mbeleko yelewiiiiiii

4. Bwana jezi na buraza macho kodo kuvizia watupiaji na watupiaji nao hawaishi kurusha roho watu wanacrop picha haaaaooooo editing za insta zikasomeeeerrrr

5. Shukran kwa upotevu wa nywila za bro don,'sabufa'wetu kapunguza sauti za kushangilia wale majogoo waliokosa ndoo miaka na miaka karne na karne. Naombea hali hii iendelee december nzima(malizia na kicheko cha baba jeska wetu)

KABLA SIJASAHAU TUPATE TANGAZO KIDOGO

Achiiiiiiiiiaaaaaa nywilaaaaaaaaaa

Anyway tuendeleee

6. Bwana jezi kila mechi ya man u anapewa maahadi tele,jukwaan hapa anakausha ahadi hazijatimia ila sura inamuaibisha anakuaga na mafuraha kama yoooteeeeeee asante kwa prime minister(kijana kijana uwege unasema bana sie tunadhan una furaha ya timu kumbe una yako)

7.soon mzee wa VAR atapata tuishen tamu na bora kabisa ya kujipatia ban yake nzuuuriiiii

8. Jirani hoooiii katimu kake kila siku ni kichapo tu

9. Hatimae urojo umeadimika visiwani,bwana naniii kahamia kwenye sembeeeee

Na repota wako maarufu kwa jina la Banned numbieeeee

Ciaoooo

#ifudieeudieeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuwa sijaiona hii[emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom