moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji120][emoji120]
Volkano huko NewzelandView attachment 1286384
✔✔Akili kubwaView attachment 1286691swala muhimu
Iran yazindua drone yaoView attachment 1286387
tokea asubuhi mpaka muda huu bado naifikiria sentensi sahihi ya kukujibu mjinga wewe.Naomba nichukue nafasi hii kufungua rasmi kampein ya #free_mkorea Daemusin
-naomba mashushu wafuatao watupe muongozo wa kumjua mtekaji aliyemnyang'anya nywila mkorea maana tumekula sana sembe tunataka recipe za urojo humu
* carbamazepine
* The Happiness
* Numbisa
* Khantwe
* Depal
* Bradha
* moudgulf
* Hawachi
* Saint anne
Tushirikiane wote kumrudisha kundini ndugu yetu mkorea mpenda urojo
#free Daemusin
#if_you_die_we_resurrect_you
Mbwa Milioni moja huliwa kwa Mwaka huko Indonesia[emoji51][emoji51]View attachment 1286398
Poleni wasafiri wooote
Unachokitafuta kwangu utakipata, maana unyagoni nilifunzwa kuwa wifi akikuletea visa ili uachana na kaka yake, mchukulie mumewe!Wewe ndio unang'ang'ania uwe wifi yangu ila mimi nimesema sitaki [emoji23][emoji23][emoji23]
Poleni wakulima
Wagonjwa Mungu awaponye
Duh hatariNyumba zetu..View attachment 1286740
Hee simba pole yenu[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1286741
Mzee yupi tena huyo? Ushaona gari bovu likivutwa na gari bovu lenzie? Mimi nataka damu changa buana...huyo babu kizee apambane na hali yake😉Sasa na yule mzee mwenzio mmeachana?
Au unataka kumpanga foleni shemeji yangu??
Nimekupata[emoji3526],usinihujumu tafwadhali.
Habari gani hizo unazo?
ShukraniThank you, nitakuwa nachangia kwa ajili ya GIFs za magoli ya Liverpool.