Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tokea asubuhi mpaka muda huu bado naifikiria sentensi sahihi ya kukujibu mjinga wewe.
mara nyingi kuongea au kuandika sana mbele ya wenzako hupelekea taathira, si ajabu kujikuta baadhi ya nyakati unazungumza au kuandika vitu vya ajabu ajabu na vyenye kukera japokuwa hukudhamiria.
si umeona hotuba za muheshimiwa raisi na taathira zake, sometime yeeees and sometime nooooooo.

nimeona ni bora nimsaidie mkwepu junior kutoa likes.

halafu kesho wahuni nyie mujiandae na kipigo kizitoooooo kutoka kwa wazanzibar.
Anyeong
 
[emoji2]
IMG_20191209_184436.jpeg
 
kwema bro?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu juzi kaleta uzi unaosema maneno yanaumba... anasema aliongea kiutani kuwa mchepuko ana mimba kweli akanasa. Akaambiwa kama maneno yaliumba akanasa tamka tena hana mimba na mimba haitakuwepo[emoji114][emoji114][emoji114]
[emoji23][emoji23][emoji23] maneno hayo bro,maneno yanaumba[emoji23][emoji23]
 
Penda na furahia Kiingereza

Ili uweze kufanya au kujifunza kitu chochote ni lazima kwanza ukipende. Ikiwa unataka kufahamu Kiingereza kwa muda mfupi ni lazima ukipende kwani ndipo utaweza kujifunza kila mara bila kuchoka wala kukata tamaa. Kila mara jihamasishe kwa kutafakari manufaa utakayoyapata baada ya kufahamu Kiingereza vizuri.
 
Mambo ya kukumbuka hapa:

Nunua kamusi ya Kiswahili na Kiingereza.
Soma vitabu na machapisho mbalimbali yaliyoandikwa kwa lugha ya Kiingereza.
Tumia tovuti za kujifunza lugha kama vile Duolingo, Babbel, BBC Learning English n.k. kujifunza Kiingereza.
Kama inawezekana, tafuta mwalimu au chuo cha kujifunza Kiingereza.
 
Back
Top Bottom