Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wafungwa waliopewa msamaha na Rais Dk.John Magufuli siku ya jana (Desemba 09,2019) wametoka leo katika Gereza la Isanga Dodoma huku baadhi yao wakieleza kutotambua kama kuna mawasiliano ya simu za mkononi na kumuomba Rais @MagufuliJP kuwakumbika wengine walibaki Gerezani.

Wamasai pia wapo huko gerezani?? Sikua nikijua!!
 
Mfungwa Merad Abraham ambaye alipaswa kurejea Uraiani na wenzake baada ya msamaha wa Rais Magufuli alioutoa kwenye Maadhimisho ya Uhuru, amekataa kuondoka katika Gereza la Ruanda Mbeya akidai hana pa kwenda huku akijijeruhi usoni kwa jiwe ili arejeshwe Gerezani “ikiwezekana nitolewe hapa nihamishiwe Gereza la Ukonga DSM ila sio Uraiani”
 
Huyu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…