Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
😍Amani na upendo vitawale jioni yetu
😍Amani na upendo vitawale jioni yetu
Maridhiano....
Hataki uraiani...labda kajifunza tabia flani.....Jirani mbona kushangaa??[emoji849][emoji849]
Hapo juu Kuna gauni na mvaaji.Tumuone huyo tausi na mvaaji wa hilo gauni[emoji16][emoji16]
Na hujuma zako zote ulizonihujumu nikuonyeshe wewe tausi?Hebu huyo tausi tumuone basi[emoji846]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumuone tu
Sina kuchaEm fanya nione tu kucha za miguu basi .. ,
Hujawahi kuona tisa inayoelekea Kwenye moja?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]