myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni wasafiri wote...mfike salama
Maridhiano....MARIDHIANO, MARIDHIANO, MARIDHIANO!!! Kelele ni kubwa sana; vumbi na giza limetanda kila mahali. Naomba niseme yafuatayo:
Duh!!Mfungwa Merad Abraham ambaye alipaswa kurejea Uraiani na wenzake baada ya msamaha wa Rais Magufuli alioutoa kwenye Maadhimisho ya Uhuru, amekataa kuondoka katika Gereza la Ruanda Mbeya akidai hana pa kwenda huku akijijeruhi usoni kwa jiwe ili arejeshwe Gerezani “ikiwezekana nitolewe hapa nihamishiwe Gereza la Ukonga DSM ila sio Uraiani”
👏👏Poleni mnaoendelea na kazi..
AminaMungu atupe jioni njema..