Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba,Zanzibar amesema wanamshikilia Salum Khatibu mwenye umri wa miaka 42 kwa tuhuma za kumbaka na kumjeruhi sehemu za siri Mwanae wa kumzaa mwenye miaka 12 “alipoachana na Mkewe,Mtoto aliishi na Shangazi yake, Baba huyo akamfata Mwanae na kuishi nae kumbe akawa anamfanyia ukatili huo anaodaiwa kuufanya”
_
Ripoti hiyo ya Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba,Zanzibar inasema uchunguzi wa Daktari unaonesha Mtoto huyo wa miaka 12 aliingiliwa zaidi ya mara moja, huku Baba yake Mzazi ambaye alikuwa anaishi nae akidaiwa kuhusika na kwamba Majirani walishtukia kinachondelea kati ya Baba na Mtoto wakatutoa taarifa Polisi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wakati mwingine hatuna huruma.

Ila wanasema wanaume wengi hulea watoto ambao si wao.

**********************************************
Men what would u guys do? [emoji848]

MY WIFE DOES NOT KNOW THAT I KNOW.
I have been married for 14 years "we" have 3kids(all boys) but none of them belongs to me. I know this for a fact but my wife does not know that I know.

Let me explain.....

5years before I met my wife, I was involved in a car accident with two of my friends, our car skidded off the road. I was the only survivor of that accident, I spent about 11months in the hospital and that left me with a condition that says I can't have children.

I gave my life to Jesus Christ and became a committed Christian after the incident.

In summary I became a pastor in a local church in my community 5years later and met my wife in the process. I did not tell her about my condition because I was hopeful that God will heal me. 6 years into our marriage my wife got pregnant and had ''our'' first child.

To be sure, I secretly went for a DNA n it was clear I wasn't the father. I repeated the test for all 3 children and they are all not mine. I have been living with this situation for the past 8 years and I am beginning to get irritated by both the children and my wife.

My wife pretends to be a good wife. She goes around preaching to young women in the church about the need to remain faithful to their partners but she has had 3 children by another man or men I don't know. I want to confront her, but I am confused as to how to go about this situation
I am just angry and irritated by everyone in my house lately. I feel like a total stranger in my own home.

What should He Do!?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Please be Honest

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20191212-WA0003.jpeg
 
Back
Top Bottom