Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama mume anajua hawezi kuzaa mbona asingemwambia mkewe wakajua la kufanya pamoja? Wangeweza hata kuadopt au kujaribu upandikizaji wa bandia; na hata kuishi tu hivyo bila mtoto. Mama kajiongeza imekuwa shida...Atulie aendelee kulea hawa watoto.

#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
#KuchapiwaHakuepukiki
Aise
 
Yaani wewe na Shiro. Mlibamba mbaya mlipoingia katika uzi huu. Mlikuwa wapole dah [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16] aisee nakumbuka sana Bro,ile moment ilikuwa poa sana,kamwe siwezi kuisahau

Tulikuwa tunakuja wote kwenye uzi na pia tunapotea kwa wakat mmoja pia[emoji16][emoji16][emoji16]
 
RestInPower
Juicewrld-1.jpeg
 
Ana vitu vya ajabu sana,ila sidhani kama atakuwa anaishi Bongo hii,kwamba na yeye anajikuta Baba

Kuna vitu vingine vinashindwa hata kuelezea,

Eeh Mungu atuepushe na hili janga dah!!
Yale mazingira nahisi ni kwa wazulu huko South. Nimeshangaa kuna member wanampa hongera.Mungu atupe watoto wenye hofu na Mungu.
 
Back
Top Bottom