Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Opsss sorry nilikua busy sana leo mida flanUzi ushafungwa nimekutag mahali naona hutokei.
Opsss sorry nilikua busy sana leo mida flanUzi ushafungwa nimekutag mahali naona hutokei.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]finally king kaaachiwaaaaaa ila sasa kapaukaaaa kama mavaz mapya ya kanye westHeheh!
Asante sana Queen wanguWelcome back My king, [emoji177][emoji177][emoji177]
Hunizidi mimi Dave
Nimeusoma komenti kwa komenti. Neno kwa nenoMsimu wa sikukuu na Zawadi kutoka kwa Mungu (a baby boy)
Wanafamilia ya jf, nafurahi kuwatangazia kua nimepata a baby boy... Okay for all new, nilileta mada kama inawezekana mwanamke kupata mimba kwa njia ya bomba la sindano yaani bila kujamiiana na mwanaume, (ilikua ni challenge question), February nikatoa habari my woman amepata ujauzito (sio kwa...www.jamiiforums.com
Mwanzo nilijua ni mwongo hataki usumbufu wa mabaharia kumbe kweli
Ni kuomba Mungu kwa kweli..Yale mazingira nahisi ni kwa wazulu huko South. Nimeshangaa kuna member wanampa hongera.Mungu atupe watoto wenye hofu na Mungu.
Ok sawa,neno moja kwao
Alikuficha eeh...Hahah! Wewe D wewe
Mambo vipi lakini?
Mwanzo nilijua ni mwongo hataki usumbufu wa mabaharia kumbe kweli
Maumbile yanaonesha kabisa itakuwa aliumizwa hisia mara nyingi.Ni kuomba Mungu kwa kweli..
Ila siwalaumu wote waliompa hongera wengi wao hawakuelewa yule ni wa aina gani ila kama ulisoma hadi chini kabsa,alimaliza na LGBT kuwa tayali alikuwa amejipambanua ni wa aina gani.