Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
AiseKama mume anajua hawezi kuzaa mbona asingemwambia mkewe wakajua la kufanya pamoja? Wangeweza hata kuadopt au kujaribu upandikizaji wa bandia; na hata kuishi tu hivyo bila mtoto. Mama kajiongeza imekuwa shida...Atulie aendelee kulea hawa watoto.
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
#KuchapiwaHakuepukiki
Uzi ushafungwa nimekutag mahali naona hutokei.Abeeeee
KhaaaMguu tu unaweza ukapigia Nyeto, madem kama hawa ndio ukikutana nao on bed kwenye romance tu ushakojoa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] aisee nakumbuka sana Bro,ile moment ilikuwa poa sana,kamwe siwezi kuisahauYaani wewe na Shiro. Mlibamba mbaya mlipoingia katika uzi huu. Mlikuwa wapole dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona mimi hujanitagUzi ushafungwa nimekutag mahali naona hutokei.
Mpendwa nilianza na Numbisa kisha nawe pia sikutegemea wataufunga kwa haraka wa Culture me itakuwa umeuwona.
Ni bora ufungiwe tu,haufaiMpendwa nilianza na Numbisa kisha nawe pia sikutegemea wataufunga kwa haraka wa Culture me itakuwa umeuwona.
Ni kweli mpendwa inasikitisha sana dada mzuri anaenda kuwa na tabia ya ajabu huruma kwa mtoto.Ni bora ufungiwe tu,haufai
Sijauona, wamefunga au wamefuta?Mpendwa nilianza na Numbisa kisha nawe pia sikutegemea wataufunga kwa haraka wa Culture me itakuwa umeuwona.
Wamefunga ila upo
Ana vitu vya ajabu sana,ila sidhani kama atakuwa anaishi Bongo hii,kwamba na yeye anajikuta BabaNi kweli mpendwa inasikitisha sana dada mzuri anaenda kuwa na tabia ya ajabu huruma kwa mtoto.
Yale mazingira nahisi ni kwa wazulu huko South. Nimeshangaa kuna member wanampa hongera.Mungu atupe watoto wenye hofu na Mungu.Ana vitu vya ajabu sana,ila sidhani kama atakuwa anaishi Bongo hii,kwamba na yeye anajikuta Baba
Kuna vitu vingine vinashindwa hata kuelezea,
Eeh Mungu atuepushe na hili janga dah!!
Hahah! Wewe D weweNimekukumbuko mno D.... Naona hatimaye TH amekupa nywila 😅😅
Kwema kupita kiasi bro, Mungu ni mwema sanaSalama bro, Mungu ni mwema.
Kwema huko?
Heheh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtekwaji kapewa nywila
Amkeniii amkeniii amkeniiiii
KD kapewa uhuru wake leoooo[emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]
The Happiness tunashukuru sana kumuachia huyu kiumbe,pongezi zikufikie
Me mzima tu kwakweli...Mie sijambo kabisa.
Sijui weye.
Naona leo tuko kwenye sherehe za uhuru