Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yale mazingira nahisi ni kwa wazulu huko South. Nimeshangaa kuna member wanampa hongera.Mungu atupe watoto wenye hofu na Mungu.
Ni kuomba Mungu kwa kweli..

Ila siwalaumu wote waliompa hongera wengi wao hawakuelewa yule ni wa aina gani ila kama ulisoma hadi chini kabsa,alimaliza na LGBT kuwa tayali alikuwa amejipambanua ni wa aina gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…