Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Mbona nyie mkizini mnakuja kuweka huku?Kweli kabsa,angefanya mambo yake binafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nyie mkizini mnakuja kuweka huku?Kweli kabsa,angefanya mambo yake binafsi.
Aiseee lini hio ninge aliweka haya masuala?
Bro,Hahah! Inaonekana TH kapata tabu sana humu ndani
Ankoo[emoji23][emoji23]Tangia lini nimekua mjomba mimi[emoji3][emoji3][emoji3]
Meza imepinduliwa na ubatizo juu 😀😀😀Ankoo[emoji23][emoji23]
Ni lini nimeweka hayo mambo dada?
Khantwe acha maswali ya uchochezi😄😄😄
Eti binti mpole, mjini kuna nini?Aiseee lini hio ninge aliweka haya masuala?
Hahah nmeona aisee,baada ya hapo utaitwa babu[emoji16][emoji16]Meza imepinduliwa na ubatizo juu [emoji3][emoji3][emoji3]
Daah! Asante sana babe....
Toka ajifungue naona unatafuta kuchepuka 😄😄😄Meza imepinduliwa na ubatizo juu 😀😀😀
Kuna kapuuzi kanajiita culture me(ka kike)kanasherehekea girlfriend wake kujifungua baby boy kanasema so katoto katakua kanamuita daddyEti binti mpole, mjini kuna nini?
Mbona kama sielewi hivi?
Panda juu bro,kuna uzi nimeushare humuKulikua na nn bro?