Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii imeniumiza sana.
Dada anaeleza kuwa bei ya pedi imepanda 3500-4000.

Anasema kuna maeneo wanatumia MAGODORO yaliyo chakaa, kinyesi cha Ng’ombe na hata soksi kujisitiri wakati wa hedhi.

Ivi hii nchi inawabunge wanawake kweli? Meshindwa kuwapigania kabisa watoto wa kike?

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh
 
Taarifa zinadai mabosi wa Man City tayari wameanza kuwa na wasiwasi wa kuhusu Guardiola kama ataendelea kubaki kwenye klabu yake baada ya msimu huu kumalizika, lakini suala la Barcelona kumfungulia milango kocha huyo ili arudi Nou Camp linatoa taswira kubwa ya maisha yanayomkabili kocha wa sasa wa Barcalona, Ernesto Valverde
 
FRANK Lampard amesisitiza kwamba Chelsea itafanya kila inaloliweza kumnasa Jadon Sancho kwenye dirisha la Januari kwa ada inayodaiwa kuwa ni Pauni 100 milioni. Staa huyo wa Borussia Dortmund, Sancho, 19, aliendelea na kiwango chake bora kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Slavia Prague juzi Jumanne usiku na sasa amefunga mabao matano na kuasisti mara nne katika mechi sita za mwisho.
 
Chelsea bado haijapata mtu wa kuziba pengo la Eden Hazard tangu alipoondoka kwenye dirisha lililopita kitu kinachomfanya kocha Lampard kuamini Sancho anaweza kwenda kumaliza tatizo hilo lililoachwa na supastaa huyo wa Kibelgiji aliyetimkia Real Madrid.
 
Lampard alisema: “Nadhani itakuwa safu sana na kumekuwa na majadiliano kuhusu tunavyoongeza nguvu kwenye kikosi chetu. Tulipoteza mabao mengi na asisti nyingi kwa kuondoka Eden. Tunahitaji mtu wa kumwongeza kwenye kikosi chetu kwa ajili ya eneo hilo.”
 
Winga Wilfried Zaha naye amekuwa kwenye mipango ya klabu hiyo ya Stamford Bridge, ambayo juzi waliichapa Lille ya Ufaransa na kufuzu hatua ya mtoano ya 16 bora kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya. Sancho kwenye soka la England aliwahi kuichezea Manchester City.
 
Back
Top Bottom