Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Kapotelea wapi yule mpendwa 😄😄Jina mbona halifanani kabisa na la mwanzo[emoji23][emoji23] daah mwandiko wa mtu unaujuaje eti
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapotelea wapi yule mpendwa 😄😄Jina mbona halifanani kabisa na la mwanzo[emoji23][emoji23] daah mwandiko wa mtu unaujuaje eti
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshatetemeka sasa😀😀😀Nakutania usitetemeka.
Safi mpendwa
Issue ni kwamba hawa wana LGBT wana mtandao mkubwa na wenye nguvu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pale nilishangaa ndo kwanzaa nilihisi katoroka milembe
Mimi naoga kwenye mvua kama wewe 😄😄We sio muhenga?
Asante mpendwaKwa nini mpendwa, karibu kwenye like.
Pole sana hongera kwa kujaza DuniaNimeshatetemeka sasa😀😀😀
Tunakoelekea pabaya mno. Daah navihurumia vizazi vya mbeleniIssue ni kwamba hawa wana LGBT wana mtandao mkubwa na wenye nguvu.
Sikuhizi kuangalia movie au series bila kuona haya mambo ni nadra sana.
Nimewahi kusikia kuna hadi katuni za watoto wanawekewa maudhui ya hivyo.
Yule mwenye I'd mpya.
Hahah! Adi wewe broUnahesabiwa dk bro au?
Yaani hii comment yako imenichekesha sana Depal 😄😄😄😄Ni yeye 😅😅
Hahah!Mtoto wa kishua alijawa na presha muda wote,hupatikan sehem zote[emoji16][emoji16]
Kwema lakin bro?
Happy birth date.