Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Everton imezungumza na ajenti Mino Raiola kumuachilia mshambuliaji wa Sweden Zlatan Ibrahimovic, 38, ikiwa yuko tayari kuhamia Goodison Park, japo AC Milan inapigiwa upatu kumsani mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United. (Arena Napoli, via Sport Witness
 
Manchester United imeonesha nia ya kutaka kumnunua mchezaji wa Bayer Leverkusen Mjerumani Kai Havertz, 20. Hatahivyo inakabiliwa na ushindani mkali kutoka kwa Barcelona, Liverpool, Real Madrid na Bayern Munich. (Bild, via Express)
 
Ana vitu vya ajabu sana,ila sidhani kama atakuwa anaishi Bongo hii,kwamba na yeye anajikuta Baba

Kuna vitu vingine vinashindwa hata kuelezea,

Eeh Mungu atuepushe na hili janga dah!!
Bongo hakuna hosp wanafanya IVF.
Hayuko bongo huyo kuna uzi ama comment yake mahali aloshasema hivyo.
#sijasomauzi[emoji124][emoji124]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]finally king kaaachiwaaaaaa ila sasa kapaukaaaa kama mavaz mapya ya kanye west
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#uhuruwamudamchachehuu[emoji125][emoji125]
FB_IMG_1576071067369.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom