Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Juventus wameripotiwa kuwa na mpango wa kumnunua beki wa kushoto na kulia wa Chelsea na Italy Emerson Palmieri, 25, msimu ujao. (Tuttosport, via Football Italia)
Role model wa king ni majanga jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila salute kwake kamtuliza kim[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#uhuruwamudamchachehuu[emoji125][emoji125]View attachment 1289857
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamtuliza Kim au yeye ndiye katulizwa na Kim?Role model wa king ni majanga jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila salute kwake kamtuliza kim
Msagaji aliyepata baby boy mbona kapaniki tu? Uzi mbona bado upo?
Angekuwa Bongo wapenda kiki wangekomaa naye.Bongo hakuna hosp wanafanya IVF.
Hayuko bongo huyo kuna uzi ama comment yake mahali aloshasema hivyo.
#sijasomauzi[emoji124][emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamtuliza kim ile familia na watu weusi mbali mbali. Just imagine kim aliolewa ndoa kubwa balaa ila haikumaliza mwezi akakimbilia kwa kanyeKamtuliza Kim au yeye ndiye katulizwa na Kim?
Huyu anakoelekea atakuja kuanzisha dini/kanisa/cult yake ambayo itakuja kuwa mashuhuri sana. Ana vipaji vingi !!!
Dunia nzima sasa. Ukitaka utengwe we waseme vibaya tu muziki wake motooo. Mpaka mijibaba mishoga yenye pesa nayo inatafuta surrogate mother anaibebea mimba na kuizalia mtoto. Ni biashara kubwa sasa. Dunia !!!Tunakoelekea pabaya mno. Daah navihurumia vizazi vya mbeleni
Kumbe tunaofua kwenye mvua sie ni watoto?Hujanielewa mimi sijawahi kuandika naoga kwenye mvua ila wew kuna uzi uliandika.
Hahah! Amna safari hii uhuru upo kwa muda kidogo...Nasikia unakabidhi nywila mwenyewe[emoji23][emoji23]
Huu uhuru unadumu masaa mangap??
Sent using Jamii Forums mobile app