Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Usizingatie sana, hapo mpira umerudishwa kama ulivyorushwaLoh🙆♀️🙆♀️
Hapana sikufichwa mimi, basi tu ratiba hazikua rafiki sana ila sasa hivi afadhali kidogo ....Ulifichwa wapi kwani?
Huku poa sana Mzee mwenzangu mambo yanaendaHahah
Kumbe alikuwa anatuchora tu?
Aise,mimi sijambo habar za kwako?hope uzima upo pande hizo
Asante Sana mrembo wetu
Poa Sana bro, vipi za kwako?
Bhasi mimi naona et Kanye ndio wamemuweza sasaIla ninge kati ya majamaa wooteee kanye kaiwezea familia ya kardashian,hadi now nashangaa hawajamletea mizengwe kama wale wenzie