Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwenyezi Mungu atujaalie kila mmoja wetu afanikiwe kubamba mkwanja mrefu wa funga mwaka[emoji120][emoji120][emoji120]
FB_IMG_1576011957052.jpeg
FB_IMG_1576169704681.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wana masihara sana[emoji23][emoji23],comment za humu ni burudan tosha

 
Pale kwenye ile comment kalijisahau maana huku kanatusumbua kwamba ni kahenga nako.

#Mwambieanipeheshimayangu bae wako
Kuna mwenzake alikuja kumjibu sema siikumbuk ile ID,yeye akasema akiwa anafanya vile na ile mvua bhasi huwa anamaliza na haja ndogo kabsa halaf anamalizia na kuoga[emoji2][emoji2][emoji2]

#Mtotowamwenziomkubwamwenzako[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom