Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku kama ya leo 2004, Shevchenko ali win Ballon d'Or,akiwa ni mchezaji wa tatu kutoka Ukraine kushinda tunzo hiyo!!

Aliwazidi kwa mbali wachezaji Deco, Ronaldhno pamoja na Henry waliokuwa namfukizia kwa karbu...

Shevchenko anabaki kuwa striker wa kweli kutokea kwenye mchezo wa mpira wa miguu hasa hasa akitamba kwenye club yake ya Milan msimu wa 03/04 akiibuka mfungaj bora!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…