Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Akubali da Wema ombi la jamaa yuko vizuri
Aisee watu wa buza kazi tunayo
Atampatia wapi zaidi ya kusema hadharani.Angemkubali ila kosa la jamaa anamtongoza kupitia vyombo vya habari.
Wanawake wanapenda mambo yaanze kimyakimya kabla hajafika hadharani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako wewe nakupa ruhusa kuniita bro, frendi, anko au jina lolote utakalopenda ali mradi tu lisiwe lenye ukakasi. Na shikamoo za heshima uwe unanipa. Tena na magoti upige kabisa mpaka chini kama mabinti wa Kisukuma wenye adabu njema na waliolelewa vizuri. Na ukitaka jina la utotoni basi niite Masalakulangwa
Wabeja [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
πππππππZa chini ya kapeti
#Katotokanaendekeaje I wish nikaone.
πππ bro MasalaKwako wewe nakupa ruhusa kuniita bro, frendi, anko au jina lolote utakalopenda ali mradi tu lisiwe lenye ukakasi. Na shikamoo za heshima uwe unanipa. Tena na magoti upige kabisa mpaka chini kama mabinti wa Kisukuma wenye adabu njema na waliolelewa vizuri. Na ukitaka jina la utotoni basi niite Masalakulangwa
Wabeja [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Unazuga mpendwa πππππππ
Huku kwema kabisa.
Huyu kamanda namfagilia sana. Mapigo yake ni ya kimya kimya. Siku atakapokosea na kuweka post hapa sijui itakuwaje. Itapigwa likes za kufa mtu.