Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Salama mpendwa za kwako.Mpendwa nakusalimia,kwema?
Salama mpendwa,ankoo zangu hawajambo?Salama mpendwa za kwako.
Atampatia wapi zaidi ya kusema hadharani.
ππππHawajambo wanakusalimia sanaSalama mpendwa,ankoo zangu hawajambo?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hakuna kitu hapo,nmekushitukia[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hawajambo wanakusalimia sana
Inawezekana Pia ila kumwambia anampenda hadharani hajakosea popote upendo unaweza onesha haijalishi gizani au kwenye mwanga.kuhusu kumpa mimba Mungu atakapo leta neema zake.Amfuate kwa wazazi wake akiwa na mshenga aone kama atamkosa.
Na tena atoe ahadi ya kumpa mimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Masalakulangwa.
Ukilikata namna hiyo linapoteza maana japo bado linamaanisha akili.
Waachie mademu hizi ishu bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Jamani nimekwambia hawajambo mpendwa unapenda nikudanganye[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hakuna kitu hapo,nmekushitukia
Heee kwamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu hii mada imeisha mpendwa mimi sijui aulizwe bae wake πKwamba kamanda mkuu mwaka huu kazini au hajazini [emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089].
Mkuu utani tu[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Sent using Jamii Forums mobile app
Madhambi hayaepukiki. Labda nije niteke mtu aliyeokoka siku moja anipe siri ya kutotenda dhambi. Ni changamoto sana. Yaani mtu unaweza kuamka na dhamira safi kabisa kuwa leo natenda mapenzi ya Mungu tu dhambi mwiko lakini gas station ya kwanza tu upate kahawa ya asubuhi mara paap bonge la msambwanda dah! Ni chalenji sana kamanda !!!
Imeisha nimekubali kushindwa[emoji1][emoji1]
Hahah haya wasalimieJamani nimekwambia hawajambo mpendwa unapenda nikudanganye
Mada haikufika popote. Mpendwa alikimbia akidai eti Wasukuma wabishi sana hawezi kushindana nao [emoji16][emoji16][emoji16]
Ngoja niwaambie hapa Ankoo Ningendako anawasalimia.Hahah haya wasalimie
Umekomaa kuchochea moto hufai
Ana wivu huyo wifi yetu πππMlinifanya nicheke mpaka wifi yako hapa kanipora simu aone kinacho nichekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Niguse ninuke !!!
View attachment 1291750
Ujue unanifanya nicheke huku[emoji2][emoji2][emoji2]Ngoja niwaambie hapa Ankoo Ningendako anawasalimia.