Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Ni kweli bro,ili maisha yaendelee changamoto lazima ziwepo ili ufikie malengo..Nimefurahi kusikia hivyo, huku ni kwema kabisa;changamoto ni za kawaida mzee.
Kwanini unasema hivyo, leo nimejaa utulivu(nimemeza dawa😀).
Bro kaninywesha vidonge bila maji, hapa nimetulia tuliii.Ni kweli bro,ili maisha yaendelee changamoto lazima ziwepo ili ufikie malengo..
Nimesoma post zenu huko juu ww na bro shimba,nimecheka sana[emoji2][emoji2]
Huo utulivu akitokea jirani yako,utulivu wote kwisha[emoji16]
Hahahahaha aiseeBro kaninywesha vidonge bila maji, hapa nimetulia tuliii.
[emoji23][emoji23]finally naitwa dadaaaaDada, salama?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha bado sana
Hata sijui imekuaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]finally naitwa dadaaaa
Salama kabisa
Jizazi !!!I feel the hit as we colide
Hawa andaeitini hawa ni kwenda nao pole pole. Wakati mwingine inabidi uwape wanachotaka [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahaha, bro haina shida.
Kamanda alikuwa anafanya yake, akatotoa na jina lake la udogoni ili aamike na kukubalika na andaeitini [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sijui imekuaje [emoji23][emoji23]