myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kulikoni....Leo nimekosa usingizi
@BAK ndugu yangu sikuoni siku hizi kumbe umeamua kujificha huku unajilia uhondo peke yako? Acha uchoyo bwana tupeane mialiko maana kule nako kunazingua wakati mwingine
Jeuri ya pesa
Mpendwa huyu BAK hayupo kitambo.@BAK ndugu yangu sikuoni siku hizi kumbe umeamua kujificha huku unajilia uhondo peke yako? Acha uchoyo bwana tupeane mialiko maana kule nako kunazingua wakati mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Walakum msalam
Ni nini kwani?
Ni shida tuNi nini kwani?
Shida gani tena wewe nae?Ni shida tu
Si ya usingizi jamaniShida gani tena wewe nae?
Kwanza Umeamkaje maana nimeona ulikesha?