capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ndio hospital zetu zilivyoUnaweza kweli kupewa dawa tu bila kuambiwa tatizo ni nini?
Tumeandikiwa dawa lakini hatujui tatizo nini, hospitali wanaficha
Kwanza poleni na majukumu, pili naomba msaada mnieleweshe. Mke wangu alikuwa anaumwa tumbo (mjamzito) tukaenda hospital akafanyiwa vipimo tukaandikiwa dawa akanunue lakini tunajaribu kuuliza tatizo ni nini wanatuficha. Wanasema kuna tukio hapo nyuma lilitokea na dawa ndio hizo hapo...www.jamiiforums.com
Ulikuwa hupatikan kila sehem,nikaona nikuite huku...ishu yenyewe tayaliPresent
Aaah shukran bwana jezi[emoji2]Ulikuwa hupatikan kila sehem,nikaona nikuite huku...ishu yenyewe tayali