Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Saa sita ya mchana au unasema saa tisa?Saa sita mara nyingi ...
Nakuona unavyosinzia hapo 😀 😀 😀
hahahahaha, usiku.Saa sita ya mchana au unasema saa tisa?
Usiku huwa jiniashahahahaha, usiku.
#hainaKulalaMchanaDada
Haya dada,Usiku huwa jinias
#yaaninaipendahiodada
Haya dada,
Mimi nalala sasa.Usiku mwema.
Wabeja sana!!!Usiku mwema na ndoto njema
Nilitoa kauli gani bro? Yaonekana nilizidisha matani mpaka nikakukwaza aisee. Kama ni hivyo basi nisamehe bro wangu. Sikudhamiria kabisa kukukwaza kwa namna yo yote ile. I wish ungesema tu pale pale tukasemeshana kama mabro yakaisha. Again nisamehe bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nilijua uliisoma post.
Kama nilikosea jana, niwie radhi ila sikutegemea kabisa ile kauli kutoka kwako.
Naamini angekuwa mzawa angechezea mvua za kutosha tu.Kwahiyo atalipa bilioni zetu 7 au atalipa milioni 50 ya hakimu?
Maana sielewi tembo 511 alipe milioni 50!!?
Tembo 511 ni sawa na tembo wote hifadhi moja tu.
Huyo mchina ni heri tumpike tumle nyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamemshinda tena yule mzee au safari hii wamemlipa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akipata urojo ndio anakuwa kwenye hali ile [emoji1][emoji1][emoji1]