moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwani mashindano? Upande mwingine na nyie si mpo ongeleeni tu kha !!!
Kuna mada kwa sasa huwa nazikwepa ujinga mtupu kila siku Single mama, single mama kama vile wanajinanii wenyewe kisha inatungwa mimba
Usiku mwemaView attachment 1292690
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu raia wa China, Liang Hu kulipa fidia TZS 50 milioni kwa kosa la kuua tembo 511 wenye thamani ya TZS 7 bilioni. Pia alitakiwa kulipa faini TZS 300,000 au kifungo cha miezi mitano jela. Mtuhumiwa aliandika barua kwa DPP kukiri makosa yake.
inasikitisha sana, kulingana na hukumu anatakiwa kulipa miloni 50Kwahiyo atalipa bilioni zetu 7 au atalipa milioni 50 ya hakimu?
Maana sielewi tembo 511 alipe milioni 50!!?
Tembo 511 ni sawa na tembo wote hifadhi moja tu.
Huyo mchina ni heri tumpike tumle nyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo kwenye majaribio ya ulinziRudi ukalale😀😀😀😀
Wewe sema umeota tena ndoto za kutisha 😀 😀Nipo kwenye majaribio ya ulinzi
Wewe mbona haulali?
Duh hii ramli mule muleWewe sema umeota tena ndoto za kutisha 😀 😀
Bado muda wangu wa kulala haujafika.
Mud
Duh hii ramli mule mule
Muda Wako saa ngapi?