moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Inadaiwa wameamua kupita njia waliopita awamu za nyuma, kumlipa nusu nusu.
Maana ndege hatuwezi kukaa nazo chumbani, anaweza kukutana nazo popote na akafanya yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana ndege hatuwezi kukaa nazo chumbani, anaweza kukutana nazo popote na akafanya yake
Wamemshinda tena yule mzee au safari hii wamemlipa?
Sent using Jamii Forums mobile app