Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1576389404575.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitoa kauli gani bro? Yaonekana nilizidisha matani mpaka nikakukwaza aisee. Kama ni hivyo basi nisamehe bro wangu. Sikudhamiria kabisa kukukwaza kwa namna yo yote ile. I wish ungesema tu pale pale tukasemeshana kama mabro yakaisha. Again nisamehe bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Pamoja bro, amani!!!
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom