moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wamemshinda tena yule mzee au safari hii wamemlipa?
Huyu jamaa kweli kafa kaoza kwa Wema [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1292811
Kuna watu wabishi jamani.. yaani anachokisema yeye anaona ndio kiko sawa hataki kujiongeza wala kujifunza kutoka kwa wenzie.. Sijui hii inasababishwa na nini? Mi nafikiri ni aina fulani ya ugonjwa wa akili..[emoji818][emoji818][emoji818]
View attachment 1292805
Doh hadi tumiguu tuchafu.. aliyetengeneza hawa ana lake jamboWanasesere hao zawadi kwa watoto wakati huu wa Krismasi...
View attachment 1292819
Heh? Mia tano na??? Hio adhabu haimtoshi...Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu raia wa China, Liang Hu kulipa fidia TZS 50 milioni kwa kosa la kuua tembo 511 wenye thamani ya TZS 7 bilioni. Pia alitakiwa kulipa faini TZS 300,000 au kifungo cha miezi mitano jela. Mtuhumiwa aliandika barua kwa DPP kukiri makosa yake.
Hiyo kazi haikufai achana nayokazi itaanza rasmi January,
naahidi kupendezesha jukwaa kwa misambwanda hai kwaliti
wandaz shali neva endiHeh? Mia tano na??? Hio adhabu haimtoshi...
Katurudisha nyuma kiuchumi huyo
😂😂kwa nini, wakati nimeaminiwa kabisaHiyo kazi haikufai achana nayo
Nimesoma kwa kuimba[emoji16]Furahi sana, Ee binti Sayuni; Piga kelele, Ee binti Yerusalemu; Tazama, mfalme wako anakuja kwako; Ni mwenye haki, naye ana wokovu; Ni mnyenyekevu, amepanda punda, Naam, mwana-punda, mtoto wa punda
ZEKARIA 9:9