Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aisee 😄😄Hahah rudi ukajipange tena upya kuleta utetezi bro
dah licha ya kupewa mkataba mpya lakini bado anazidiwa na josep guardiola......
yule kipara hongo anaramba paundi millioni 20 kwa mwaka mmoja.........
yule jamaa ni fala sana kwa kazi gani ya kupewa billioni 55 kwa mwaka.
donor countryyyyyy my ass