Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

TIMU ya Liverpool imezidi kujiimarisha kileleni baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Watford, mchezo uliopigwa Uwanja wa Anfield.
Magori yaliyofungwa na Mohamed Salah dakika 38 na 90 yameifanya timu hiyo kujikita kileleni wakiwa na pointi 49 katika michezo 17 waliyocheza mpaka hivi sasa.
 
Akikatiza mtoto ambaye siye wake hii ndiyo adhabu anayopewa....
2.12995514973807155E18.jpeg
 
Lakini, kubwa ni la wachezaji wanaotaka kuja, kwa sababu amekuwa wakiuliza 'ni muda gani kocha ataendelea kuwapo?'. Ndio maana imekuwa hivyo na mambo mengine kama hayo.”
dah licha ya kupewa mkataba mpya lakini bado anazidiwa na josep guardiola......
yule kipara hongo anaramba paundi millioni 20 kwa mwaka mmoja.........
yule jamaa ni fala sana kwa kazi gani ya kupewa billioni 55 kwa mwaka.
donor countryyyyyy my ass
 
Freddie Ljungberg alikuwa msaidizi wake Emery, lakini alipoondoka kwenye timu hiyo mwenzake amebaki na kufanya kuwa kocha wa mpito, akionndoka na wasaidizi wake wengine, Juan Carlos Carcedo na Pablo Villanueva, ambaye alikuwa kocha wa kikosi cha kwanza.
 
Back
Top Bottom