Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.1931439771534825E18.jpeg
 
na mimi pia nilikuwa miongoni mwa wajumbe wa NEC kutoka zenjibariii, nimefurahi sanaaa kupanda ndege kwa mara ya kwanza.

nilishindwa kulala ndani ya ndege kwa sababu nakoroma kuliko simba hivyo basi nilikhofia nitawaudhi wajumbe wenzangu
Mzeee ulitusumbua sana na menu zako tuliandaa urojo wewe ukawa unataka janjamiyoni sijui tambi gani zile na vijiti vyake
 
Mjerumani huyo amesema kwamba amekuwa akihusika kwenye mazungumzo ya wachezaji wengi wanaokuja kwenye timu hiyo na hilo ndilo lililomfanya asifikirie kuachana na miamba hiyo, huku kukiwa na ofa kibao klabu nyingine zikimtaka akapige kazi.
 
yes, anastahili mkataba wenye thamani kubwa kama huo aliopewa cause amefanya kazi nzuri sana hapo anfield
 
Liverpool wamekwua kwenye kiwango bora kabisa kwa sasa wakitamba kwenye Ligi Kuu England huku dili jipya la Klopp likienda sambamba na usajili wa staa mpya, kiungo Takumi Minamino, aliyenaswa kutooka RB Salzburg kwa ada ya Pauni 7.25 milioni na kwamba atatua rasmi huko Anfield mwezi ujao. Kiraka pia wa timu hiyo, James Milner amesaini mkataba mpya wa kubaki kwennye timu hadi 2022.
 
TIMU ya Liverpool imezidi kujiimarisha kileleni baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Watford, mchezo uliopigwa Uwanja wa Anfield.
Magori yaliyofungwa na Mohamed Salah dakika 38 na 90 yameifanya timu hiyo kujikita kileleni wakiwa na pointi 49 katika michezo 17 waliyocheza mpaka hivi sasa.
 
Back
Top Bottom