Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20191215_150410.jpeg
 
Mie mhudumu hapo,halafu mzee baba akatusifia kwa uzuri huku akimalizia chepeni kazi
na mimi pia nilikuwa miongoni mwa wajumbe wa NEC kutoka zenjibariii, nimefurahi sanaaa kupanda ndege kwa mara ya kwanza.

nilishindwa kulala ndani ya ndege kwa sababu nakoroma kuliko simba hivyo basi nilikhofia nitawaudhi wajumbe wenzangu
 
Back
Top Bottom