Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwakuwa ni kocha wa mataji.
Leta taji tukupe hela.
Siyo utuletee chenga nyingi bila taji.
Nadhani huyu wetu alete mataji ya kutosha pesa itamfuata tu
dah licha ya kupewa mkataba mpya lakini bado anazidiwa na josep guardiola......
yule kipara hongo anaramba paundi millioni 20 kwa mwaka mmoja.........
yule jamaa ni fala sana kwa kazi gani ya kupewa billioni 55 kwa mwaka.
donor countryyyyyy my ass

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…