Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijatafasiri, ila unaweza kunitafasiria tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Dini inayozungumzwa hapa si uislam wetu wala ukristo wetu Kama jinsi ulivyowaza wewe

Dini kwa Maana ya namna ya kuutafuta uso wa MUNGU kwa njia ya matendo.
Hii ya kuwajali wahitaji imeelezwa kuwa ni Safi na isiyo na taka..
Yawezekana Kuna zingine zina taka, Mimi sijui ..ninachojua Ni hicho.

Kwa kufanya hivyo(kuwahurumia masikini na wahitaji) mwanadamu humkopesha MUNGU.,
Yeye (MUNGU)huwategemeza wahitaji,kwa Maana Hiyo Yeye ndiye mwenye jukumu la kuwatunza..huwatunza kupitia wanadamu.
[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sina wasaidizi wengi. Kama tutaendelea kuwa hivi kwa miezi kadhaa, basi mambo yatakuwa magumu zaidi. Lakini, hilo ni la klabu wamesema nisubiri hadi watakapofanya uamuzi, hivyo siwezi kufanya chochote. Ninaye Per Mertesacker, lakini yeye ni meneja kwenye akademia, yupo tu hapa ananisaidia kufundisha.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…