Usiku uwe mwema kwenu
Popote ulipo carba hakuna kuibuka ghafla na kujitupia subiria tuwepo
Usiku tulivu kama mo arena ya akina moud
Usiku wenye baraka tele kama furaha ya anne pale wapinzani wake wanapopokea vipigo kila siku
Usiku murua kama kombolela ya king na queen ake kutwa kuibiana nywila na kupimiana bando
Usiku wa pipiiiiii in jirani's voice. Taarifa za kunyampia nyampia zinasema jirani yupo ndani ya tren kwa raha zake akionja mema za walipa kodi
Chei chei usiku wa kipole kama akina naniii kujiweka kundi la wapole,usiku uwe mpole kwenu kama mlivyo anko bradha,mkokaa,aunt hawachi,bae na bae wake
Usiku wa kelele kama za anne na mfilisti bila kusahau siasa za coco na memes za bro don
Usiku wa burudani nzuuuriii na murua toka kwa dj wetu aunt kgotha
Usiku wa likes za kumwaga toka kwa invisible mkwepu
Usiku wa burudani za hapa na pale toka kwa aunt kantwe, and our very own daemusin.
Usiku wa wavuvi wanaopotea mazima poti na mzee wa liver sijui wanavua samaki gani huko
Usiku wa ujiiiiiiiiiii
Alamsiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Its me mzee wa draw,vipigo na kukamia big matches cheeeeiiiiii