CROSSFIRE
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 506
- 1,478
Tuishi nao kwa akiliBaharia hataki kuelewa, kaliwa nauli na manzi. [emoji1]View attachment 1293634
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuishi nao kwa akiliBaharia hataki kuelewa, kaliwa nauli na manzi. [emoji1]View attachment 1293634
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mimi sikuwepoNimeshajiweka mara nyingi hamnishtukiag tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi na nyie muwe wavumilivu hadi mwezi ujaoWewe tuu hukuona, ikifika mwisho wa mwezi utaona....
[emoji23][emoji23][emoji23]Usiku uwe mwema kwenu
Popote ulipo carba hakuna kuibuka ghafla na kujitupia subiria tuwepo
Usiku tulivu kama mo arena ya akina moud
Usiku wenye baraka tele kama furaha ya anne pale wapinzani wake wanapopokea vipigo kila siku
Usiku murua kama kombolela ya king na queen ake kutwa kuibiana nywila na kupimiana bando
Usiku wa pipiiiiii in jirani's voice. Taarifa za kunyampia nyampia zinasema jirani yupo ndani ya tren kwa raha zake akionja mema za walipa kodi
Chei chei usiku wa kipole kama akina naniii kujiweka kundi la wapole,usiku uwe mpole kwenu kama mlivyo anko bradha,mkokaa,aunt hawachi,bae na bae wake
Usiku wa kelele kama za anne na mfilisti bila kusahau siasa za coco na memes za bro don
Usiku wa burudani nzuuuriii na murua toka kwa dj wetu aunt kgotha
Usiku wa likes za kumwaga toka kwa invisible mkwepu
Usiku wa burudani za hapa na pale toka kwa aunt kantwe, and our very own daemusin.
Usiku wa wavuvi wanaopotea mazima poti na mzee wa liver sijui wanavua samaki gani huko
Usiku wa ujiiiiiiiiiii
Alamsiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Its me mzee wa draw,vipigo na kukamia big matches cheeeeiiiiii
Endeleeni kusubiri.Wewe jikweze tuu.
Sisi tunajishusha, tunaamini Mungu atatuinua tuu kutoka mavumbini mpaka mawinguni😀😀😀😀
Dini inayozungumzwa hapa si uislam wetu wala ukristo wetu Kama jinsi ulivyowaza wewe
Dini kwa Maana ya namna ya kuutafuta uso wa MUNGU kwa njia ya matendo.
Hii ya kuwajali wahitaji imeelezwa kuwa ni Safi na isiyo na taka..
Yawezekana Kuna zingine zina taka, Mimi sijui ..ninachojua Ni hicho.
Kwa kufanya hivyo(kuwahurumia masikini na wahitaji) mwanadamu humkopesha MUNGU.,
Yeye (MUNGU)huwategemeza wahitaji,kwa Maana Hiyo Yeye ndiye mwenye jukumu la kuwatunza..huwatunza kupitia wanadamu.
[emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini, beki yake ya kwanza ilikuwa ya kipigo kutoka kwa Brighton kwenye ligi uwanjani Emerates, lakini alipata sare pia ya 2-2 mara mbili dhidi ya Norwich City kwenye ligi na Standard Liege kwenye Europa League.
Usiku uwe mwema kwenu
Popote ulipo carba hakuna kuibuka ghafla na kujitupia subiria tuwepo
Usiku tulivu kama mo arena ya akina moud
Usiku wenye baraka tele kama furaha ya anne pale wapinzani wake wanapopokea vipigo kila siku
Usiku murua kama kombolela ya king na queen ake kutwa kuibiana nywila na kupimiana bando
Usiku wa pipiiiiii in jirani's voice. Taarifa za kunyampia nyampia zinasema jirani yupo ndani ya tren kwa raha zake akionja mema za walipa kodi
Chei chei usiku wa kipole kama akina naniii kujiweka kundi la wapole,usiku uwe mpole kwenu kama mlivyo anko bradha,mkokaa,aunt hawachi,bae na bae wake
Usiku wa kelele kama za anne na mfilisti bila kusahau siasa za coco na memes za bro don
Usiku wa burudani nzuuuriii na murua toka kwa dj wetu aunt kgotha
Usiku wa likes za kumwaga toka kwa invisible mkwepu
Usiku wa burudani za hapa na pale toka kwa aunt kantwe, and our very own daemusin.
Usiku wa wavuvi wanaopotea mazima poti na mzee wa liver sijui wanavua samaki gani huko
Usiku wa ujiiiiiiiiiii
Alamsiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Its me mzee wa draw,vipigo na kukamia big matches cheeeeiiiiii
Ndiyo Maana pale mbele nikaweka lile andiko ulilomquote Bro SYBKatika kuwajali watu wa Mungu kunaweza kusiwe na taka, lakini kunaweza kuwa na takataka nyingi pia.
Yani utoke huko utokako na hela zako za ufisadi, umeuza unga wa kulevya, umedhulumu mradi wa maji wa kijiji, umeuza mkono wa albino nk, halafu unakuja Dar kuwakusanya yatima kula nao Sikukuu mbele ya kamera za waandishi ukijidai kutafutata utakaso wa dini safi isiyo na takataka!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee😀😀😀😀Nimeshajiweka mara nyingi hamnishtukiag tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anonimazi forevaaa [emoji351][emoji351][emoji351] !!!Nimeshajiweka mara nyingi hamnishtukiag tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]