Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Katika kuwajali watu wa Mungu kunaweza kusiwe na taka, lakini kunaweza kuwa na takataka nyingi pia.
Yani utoke huko utokako na hela zako za ufisadi, umeuza unga wa kulevya, umedhulumu mradi wa maji wa kijiji, umeuza mkono wa albino nk, halafu unakuja Dar kuwakusanya yatima kula nao Sikukuu mbele ya kamera za waandishi ukijidai kutafutata utakaso wa dini safi isiyo na takataka!!?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa ni heri wangemuacha mzee Wenger.
Wakati ule walikuwa hawapati mataji lakini Klabu ilikuwa inazalisha faida kubwa.
Lakini sasa wanakosa vyote.
Lakini, beki yake ya kwanza ilikuwa ya kipigo kutoka kwa Brighton kwenye ligi uwanjani Emerates, lakini alipata sare pia ya 2-2 mara mbili dhidi ya Norwich City kwenye ligi na Standard Liege kwenye Europa League.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiota ndoto mbaya za kutisha zitakazopelekea kupotea usingizi wako urudi hapa utatukuta[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo Maana pale mbele nikaweka lile andiko ulilomquote Bro SYB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pima na uongeze (muhammad bin abdillah)
Kumpa mtu haki yake ni uadilifu, na kumwongezea ndiyo ihsani. Mtume s.a.w. ataka watu wapendane kwa kutendeana wema wao kwa wao. Wafanya biashara wamehusika sana na amri hii. Kumnyang’anya mtu haki yake ni mbali kabisa na mafunzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…