NaddySL
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 995
- 5,193
😂😂😂Yaani vijana hawa siku hizi simu zimewafanya wawe wanatembea kama mazombieSi ajabu huyu alikuwa anakula likes...[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1294269
😂😂😂Yaani vijana hawa siku hizi simu zimewafanya wawe wanatembea kama mazombieSi ajabu huyu alikuwa anakula likes...[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1294269
🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️We sis "mkorofi" kumbe eeeh!?
Eti utaila ukipiga nini? [emoji16][emoji16][emoji16]
unga wa ngano ni dawa ya bahati...Ili uumue maandazi?
Mfilisti ameshakubali. Tusubiri January siyo mbali...mikoba yako haiwezi
nashauri mkabidhi mzee wa poleni vimbau mbau
Ngano hiii hii ??? Au ya Azam ndio inaleta pesa za Bakhresa?unga wa ngano ni dawa ya bahati...
nikijipaka unga wa ngano kwenye kwapa huwa sikosi pesa...
jaribu uoneeee.Ngano hiii hii ??? Au ya Azam ndio inaleta pesa za Bakhresa?