myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
19:22
nikihitaji compeletd drama ndio najiunga kifurushi cha usiku...Ni Tecno
Hio gb 10 si ni ofa ya usiku pekee?kuanzia saa ngapi?
Sorry najua huwa unafafanua humu ika sasa tunashindwa kukariri
Waao waoow pazuri hapo. Jesimu lazima kutumia simu zao?yaan laini inakubali kuingia kwenye simu yoyote?saa 6 usiku mpaka saa 12 asubuhi....
raha ya saa ya TTCL ipo nyuma..
unaweza kutumia mpaka saa 12:30 asubuhi😎😎😎
sisi wengine kwenye kwapa tunajipaka unga wa ngano
Ipo vizuri hope sio menu ya laini ya chuonikihitaji compeletd drama ndio najiunga kifurushi cha usiku...
siku za kawaida najiunga kifurusi cha GB 4 kwa shilingi 1000.
3.5 gb kuanzia saa 2 usiku hadi 12 asubuhi
500 mb kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 2 usiku
yes ila location ni muhimu zaidi.Waao waoow pazuri hapo. Jesimu lazima kutumia simu zao?yaan laini inakubali kuingia kwenye simu yoyote?
Waafrika tuna taratibu zetu wenyewe...Na mabinti wengine huwa wanapulizia kule moja kwa moja direct kabisa [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
kifurushi cha chuo.Ipo vizuri hope sio menu ya laini ya chuo
Aaah hapo sawayes ila location ni muhimu zaidi.
raha yake upate sehemu inayopanda 4G ndio utastarehe.
mikoba yako haiwezi
Dah kule haifaiiii...utaila ukipiga dekiiWaafrika tuna taratibu zetu wenyewe...Na mabinti wengine huwa wanapulizia kule moja kwa moja direct kabisa [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ili uumue maandazi?sisi wengine kwenye kwapa tunajipaka unga wa ngano
We sis "mkorofi" kumbe eeeh!?Dah kule haifaiiii...utaila ukipiga dekii