Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Michezo mingine ambayo imepangwa katika hatua hiyo ya mtoano, Borussia Dortmund wataanzia nyumbani, Ujeruman kucheza dhidi ya PSG ya Ufaransa, Atlanta ya Italia imepangwa kucheza dhidi ya Valencia.