Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Last time against Atletico Madrid (2010), the Reds lost on away goals in the Europa League semi-final. Sergio Aguero, David de Gea and Diego Forlan were among the Atleti team.
1576498572842.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shemeji kwema?
Hakika Mungu ni mwema afya na nguvu kwa kila kiungo changu kimepata.
Nina haki ya kujimwambafai maana Mungu yu pamoja nami [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Mkuu uyego mimi nilisha ondokana nao kitambo sana.
Niseme tu nilizaliwa Noeli, sasa Krismas ya mwaka 84 tukawa tunaimba "apapigwe Jesu lilino lusekelo" huku tukizunguka na matawi ya miti mkononi.Mjinga mmoja akanibatiza hilo jina kisa ndio tarehe yangu pia, kichwa kikavimba,nikarudi home fasta, nikaiba shilingi tatu(moja ya mwaka 1973 na mbili za mwaka 1966)za mama mdogo,nikarudi kundini, nikanunua vibama vya shilingi moja na senti themanini. Ile shilingi moja ya mwaka 1973 sikuitumia kwasababu ilikuwa inanasa kwenye sumaku, ikabaki ya kuchezea mtaani...
Kesho yake mama mdogo aligundua kaibiwa hela, akaripoti kwa Ankoo, kwenye msako wa mwizi wajinga wawili wakanichoma kuwa jana nilikuwa naitwa "Jesu" na niliwanunulia vitumbua raia...
Ukaguzi ukapita ghafla, mfukoni nikakutwa na sh moja, senti 10,sumaku na kakipande ka nyota kali kameungua mwishoni...
Nilipigwa hadi nilipoteza uwezo wa kulia kwa sauti, kwa mbaaali nilimuona bibi (apumzike peponi) yangu ameanguka chini huku anagalagala... [emoji24][emoji24][emoji24]acha niishie hapa.

Mkuu mimi ni mkongwe ila tu ni hawa mabinti wenye misambwanda ndo wananichelewesha kuzeeka kabisa.


Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom