Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dogo aliamua kuzuka kwenye chumba cha wazazi wake unannounced. Alichokiona huko ni siri yake [emoji16][emoji16][emoji16]
0363091f-c3aa-465d-aee8-59790f2f4402.gif
 
Geti la chini hamna wasukuma kule...kule kumejanjaruka kinoma noma
Kukiwa kumejanjaruka ina maana ndo hakuna Wasukuma? Umeanza lini kuchukia Wasukuma hivi? Mbona huko nyuma hukuwahi kujihusisha kabisa na hizi ishu za TRM? What happened? Did you go through a Sukumalized traumatic event or what? Jizazi....
 
Shemeji dah !!!

Wahenga kweli tumepitia mengi. Umenichekesha sana...Na ulivyomalizia sasa. Yaani Rahatupu...

Mungu Atuongezee miaka mingine mingi siye wahenga tuje tuone vijukuu na vitukuu vyetu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amen [emoji120][emoji120]
Mungu ana kusudi na sisi.
Ni jambo jema kwamba kwenye uzi huu pamoja na kuchanganyikana sana tuna heshimiana sana, tunapendana mno, tunagombana hasa ila dakika ya mwisho tunarudi na kuwa wamoja [emoji123][emoji123]
Nini kingine tunataka?!! Uji? Konokono? Papai? Parachichi? Fenesi? Chenza? Kona ya bwiru?
Wapi hivi vitu vina patikana?!! Tanga? Nyanda za juu kusini? Nyegezi?
Maisha ndio haya haya, huko kwingine hayapo ya hivi na uyatarajiayo hautayapata...
Turee nyamaaa tena iliyononaaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom